sw_jer_text_reg/09/25.txt

1 line
284 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Tazama, siku zaja - asema Bwana wakati nitakapowaadhibu wote ambao wametahiriwa miili tu. \v 26 Nitaiadhibu Misri na Yuda, Edomu, watu wa Amoni, Moabu, na watu wote wanaonyoa denge. Kwani mataifa yote haya hayajatahiriwa, na nyumba yote ya Israeli ina moyo ambao haujatahiriwa."