sw_jer_text_reg/51/20.txt

1 line
196 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwa wewe nitaponda farasi na wawapandao; kwa wewe nitaponda vibandawazi na madereva wake.