sw_jer_text_reg/28/10.txt

1 line
337 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 10 Lakini Hanania nabii akaichukua nira kutoka kwenye shingo ya Yeremia na kuivunja. \v 11 Kisha Hanania akanena mbele ya watu wote na kusema, "Yahwe anasema hivi: Kama hivi tu, ndani ya miaka miwili nitaivunja nira iliyowekwa na Nebukadneza mfalme wa Babeli kutoka kwenye shingo ya kila taifa." Kisha Yeremia nabii akaenda njia yake.