sw_jer_text_reg/30/20.txt

1 line
400 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 20 Kisha watu watakuwa kama ilivyokuwa mwanzo, na kusanyiko lao litaanzishwa mbele yangu wakati nitakapowaadhibu wote wanaowatesa kwa sasa. \v 21 Kiongozi wao atatoka miongoni mwao. Atatokeza kutoka kati yao nitakapomleta karibu na atakaponikaribia mimi. Kama sitafanya hivyo, ni nani atakayethubutu kunisogelea? —hili ni tangazo la Yahwe. \v 22 Kisha mtakuwa watu wangu, na nitakuwa Mungu wenu.