sw_jer_text_reg/14/15.txt

6 lines
959 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

<<<<<<< HEAD
\v 15 Kwa hiyo Bwana asema hivi, "Kwa habari ya manabii wakihubiri kwa jina langu, ambao mimi siwakutuma; wale wanaosema kuwa hakutakuwa na upanga wala njaa katika nchi hii mabii hawa wataangamia kwa upanga na njaa. \v 16 Na watu waliopewa utabiri watafukuzwa nje ya barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga; kwa kuwa hakuna mtu wa kuwazikas-wao, na wake zao, na wana wao, wala binti zao; kwa maana nitamwaga uovu wao wenyewe juu yao.
=======
\v 15 Kwa hiyo Bwana asema hivi, "Kwa habari ya manabii wakihubiri kwa jina langu, ambao mimi sikuwatuma; wale wanaosema kuwa hakutakuwa na upanga wala njaa katika nchi hii manabii hawa wataangamia kwa upanga na njaa. \v 16 Na watu waliopewa utabiri watafukuzwa nje ya barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga; kwa kuwa hakuna mtu wa kuwazika, na wake zao, na wana wao, wala binti zao; kwa maana nitamwaga uovu wao wenyewe juu yao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113