sw_hos_text_reg/09/01.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 1 Usifurahi, Israeli, kwa furaha kama watu wengine. Kwa maana haukuwa mwaminifu, umemuacha Mungu wako. Unapenda kulipa mshahara kwa kahaba kwenye sakafu zote za nafaka. \v 2 Lakini sakafu na divai hazitawalisha; divai mpya itampungukia.