sw_hos_text_reg/06/01.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 1 "Njoo, turudi kwa Bwana. Kwa maana ametuvunja vipande vipande, lakini atatuponya; ametujeruhi, lakini atatufunga majeraha yetu. \v 2 Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, na tutaishi mbele yake. \v 3 Nasi tumjue Bwana; tukaendelee kumjua Bwana. Kuja kwake ni hakika kama asubuhi; atakuja kwetu kama mvua, kama mvua ya vuli ambayo huinyeshea ardhi."