Tue Aug 30 2022 06:37:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 06:37:03 +03:00
parent 70991a9f2e
commit 88df4423ae
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kisha Zerubabeli mwana wa Shelitieli, na kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehozadaki, pamoja na mabaki ya watu, wakatii sauti ya Bwana Mungu wao, na maneno ya nabii Hagai, kwa sababu Bwana Mungu wao alikuwa amemtuma na watu wakaogopa uso wa Bwana. \v 13 Ndipo Hagai, mjumbe wa Bwana, akaongea ujumbe wa Bwana kwa watu na kusema,"'Niko pamoja na wewe!'- Hili ni tamko la Bwana.
\v 12 Kisha Zerubabeli mwana wa Shelitieli, na kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehozadaki, pamoja na mabaki ya watu, wakatii sauti ya Bwana Mungu wao, na maneno ya nabii Hagai, kwa sababu Bwana Mungu wao alikuwa amemtuma na watu wakaogopa uso wa Bwana. \v 13 Ndipo Hagai, mjumbe wa Bwana, akaongea ujumbe wa Bwana kwa watu na kusema,"'Niko pamoja na nanyi!'- Hivi ndivyo asema Bwana!

View File

@ -42,6 +42,7 @@
"01-01",
"01-03",
"01-07",
"01-10"
"01-10",
"01-12"
]
}