sw_hab_text_reg/02/12.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 12 'Ole wake yule ajengaye mji kwa damu, na anayeimarisha mji kwa katika uovu. \v 13 Hii haitoki kwa Bwana wa majeshi kwamba watu wafanye kazi ajili ya moto ,na mataifa yanajichosha yenyewe bure? \v 14 Kwa kuwa nchi itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana kama maji yaifunikavyo bahari.