sw_hab_text_reg/03/13.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 13 Ulikwenda nje kwa ajili ya wokovu wa watu wako, Kwa ajili ya wokovu wa mteule wako. Wewe huponda kichwa cha nyumba ya mwovu kuweka wazi kutoka kwa msingi mpaka kwa shingo. Sela