sw_hab_text_reg/03/11.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 11 Jua na mwezi vilisimama imara juu mahali pake katika mwanga wa mishale yako ilipopaa, kwa mwanga wa mkuki wako umeremetao. \v 12 Umetembea juu ya nchi kwa hasira. Katika ghadhabu umewapura mataifa.