sw_hab_text_reg/03/09.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 9 Umeleta upinde wako bila mfuniko; unaweka mishale kwenye upinde wako! Sela Uliigawa nchi na mito. \v 10 Milima ilikuona wewe na kugeuka kwa uchungu.Gharika ya maji ikapita juu yao; vilindi vikapaza sauti. vikainua juu mikono yake.