sw_hab_text_reg/03/07.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 7 Niliona hema za Wakushi katika mateso, na vitambaa vya hema za nchi ya Midiani vinatetemeka. \v 8 Yahwe alikasirika pale mitoni? Ghadhabu yako ilikuwa dhidi ya mito, au hasira yako dhidi ya bahari, unapopanda juu ya farasi na magari yako ya ushindi?