sw_hab_text_reg/02/09.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 9 Ole kwa yule anayepata mapato maovu kwa ajili ya nyumba yake, hivyo apate kukiweka kiota chake juu ili apate kujiepusha na mkono wa uovu.' \v 10 Umebuni aibu kwa nyumba yako kwa kukatilia mbali watu wengi, na umefanya dhambi dhidi ya maisha yako. \v 11 Sababu mawe yatapasa sauti kutoka ukutani, na pao la mbao litawajibu,