sw_hab_text_reg/01/15.txt

1 line
396 B
Plaintext

\v 15 Huwaleta wote kwa ndoano; anawakokota watu kutoka kwenye nyavu za samaki na kuwakusanya kwenye wavu wao;kwa hiyo anashangilia na kufurahi. \v 16 Kwa hiyo anatoa sadaka kwa wavu wake na kuchoma ubani kwa juya lake, kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe,na chakula chake ni aina tajiri zaidi. \v 17 Kwa hiyo ataendelea kumwaga wavu wake,na kuendelea kuyachinja mataifa bila huruma?"