sw_hab_text_reg/01/12.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 12 "Wewe si wa tangu milele, Yahwe Mungu wangu, uliye Mtakatifu wangu? Hatutakufa. Yahwe aliwatenga kwa ajili ya hukumu, nawe, Mwamba, umewaimarisha kwa ajili ya kusahihisha.