\v 10 Wanawadhihaki wafalme, na watawala ni dhihaka kwao.Huicheka kila ngome, maana wanarundika udongo na kuukamata. \v 11 Ndipo upepo utapita; itaendelea kupita _watu wenye hatia, ambao nguvu zao ni mungu wao."