sw_hab_text_reg/01/08.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 8 Farasi wao pia wanambio sana kuliko chui, wakali kuliko mbwa mwitu wa jioni. Farasi wao huwaseta, na wapanda farasi wao huja kutoka mbali _ wanapaa kama tai anayewahi kula. \v 9 Wote huja kwa vurugu; makundi yao yanakwenda kama upepo wa jangwani, na wanakusanya mateka kama mchanga.