sw_hab_text_reg/01/05.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 5 "Angalia mataifa na uwachunguze; ustajaabu na ushangae! Kwa maana hakika niko karibu kufanya jambo katika siku zako ambalo hutaamini utakapoambiwa. \v 6 Kwa maana angalia! nakaribia kuwainua Wakaldayo _taifa katili na lenye haraka _wanapita katika upana wa nchi kuteka makao yasiyo yao. \v 7 Wanatisha na kuogofya; hukumu yao na ukuu wao hutoka kwao wenyewe.