\c 2 \v 1 1Nitasimama kwenye nguzo ya ulinzi na kujiweka juu ya mnara,na nitazame nione atakaloniambia na nione vile nitakavyotoka kwa lalamiko langu.