Wed Feb 08 2023 15:53:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-08 15:53:33 +03:00
parent b934a357ee
commit fbe12f3128
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Hawatachukua hawa wote methali na dhihaka, mafumbo kumhusu, 'wakisema ,Ole wake yule aongezaye visivyo vya kwake! Ni kwa muda gani utaongeza uzito wa dhamana uliyochukua?' \v 7 Je hao wanaokuuma hawatainuka ghafla, na hao wanaokutisha kuamka? Utakuwa mwathirika kwa ajili yao. \v 8 Kwa sababu umeteka nyara watu wengi, mabaki yote ya watu, yatakuteka nyara wewe. Sababu umemwaga damu ya binadamu na umeitendea nchi udhalimu, miji, na wote wanaokaa ndani yake.
\v 6 Hawatachukua hawa wote methali na dhihaka, mafumbo kumhusu, 'wakisema ,Ole wake yule aongezaye visivyo vya kwake! Ni kwa muda gani utaongeza uzito wa dhamana uliyochukua?' \v 7 Je hao wanaokuuma hawatainuka ghafla, na hao wanaokutisha kuamka? Utakuwa mwathirika kwa ajili yao. \v 8 Kwa sababu umeteka nyara watu wengi, mabaki yote ya watu yatakuteka nyara. Sababu umemwaga damu ya binadamu na umeitendea nchi udhalimu, miji, na wote wanaokaa ndani yake.