Wed Feb 08 2023 15:43:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-08 15:43:32 +03:00
parent 411c0acf72
commit 6ac959e2e1
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Hawa wote hawatachukua methali na dhihaka, mafumbo kumhusu, 'wakisema ,Ole wake yule aongezaye visivyo vya kwake! Ni kwa muda gani utaongeza uzito wa dhamana uliyochukua?' \v 7 Hao wanaokuuma hawatainuka ghafla? na hao wanaokutisha kuamka? Utakuwa mwathirika kwa ajili yao. \v 8 Kwa sababu umeteka nyara watu wengi, mabaki yote ya watu, yatakuteka nyara wewe. Sababu umemwaga damu za watu na umeitendea nchi udhalimu, miji, na wote wanaokaa ndani yake.
\v 6 Hawa wote hawatachukua methali na dhihaka, mafumbo kumhusu, 'wakisema ,Ole wake yule aongezaye visivyo vya kwake! Ni kwa muda gani utaongeza uzito wa dhamana uliyochukua?' \v 7 Je hao wanaokuuma hawatainuka ghafla, na hao wanaokutisha kuamka? Utakuwa mwathirika kwa ajili yao. \v 8 Kwa sababu umeteka nyara watu wengi, mabaki yote ya watu, yatakuteka nyara wewe. Sababu umemwaga damu za watu na umeitendea nchi udhalimu, miji, na wote wanaokaa ndani yake.