Wed Feb 08 2023 15:09:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-08 15:09:32 +03:00
parent 3d2b72d048
commit 6abf4d376d
3 changed files with 3 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 "Angalia mataifa na uwachunguze; ustajaabu na ushangae! Kwa maana hakika niko karibu kufanya jambo katika siku zako ambalo hutaamini utakapoambiwa. \v 6Kwa maana angalia! nakaribia kuwainua Wakaldayo _taifa katili na lenye haraka _wanapita katika upana wa nchi kuteka makao yasiyo yao. \v 7 Wanatisha na kuogofya; hukumu yao na ukuu wao hutoka kwao wenyewe.
\v 5 "Angalia mataifa na uwachunguze; ustajaabu na ushangae! Kwa maana hakika niko karibu kufanya jambo katika siku zako ambalo hutaamini utakapoambiwa. \v 6 Kwa maana angalia! nakaribia kuwainua Wakaldayo _taifa katili na lenye haraka _wanapita katika upana wa nchi kuteka makao yasiyo yao. \v 7 Wanatisha na kuogofya; hukumu yao na ukuu wao hutoka kwao wenyewe.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Farasi wao pia wanambio sana kuliko chui, wakali kuliko mbwa mwitu wa jioni. Farasi wao huwaseta, na wapanda farasi wao wanakuja kutoka mbali - wanapaa kama tai anayewahi kula. \v 9 Wote wanakuja kwa vurugu; makundi yao yanakwenda kama upepo wa jangwani, na wanakusanya mateka kama mchanga.
\v 8 Farasi wao pia wanambio sana kuliko chui, wakali kuliko mbwa mwitu wa jioni. Farasi wao huwaseta, na wapanda farasi wao huja kutoka mbali - wanapaa kama tai anayewahi kula. \v 9 Wote huja kwa vurugu; makundi yao yanakwenda kama upepo wa jangwani, na wanakusanya mateka kama mchanga.

View File

@ -39,7 +39,7 @@
"01-title",
"01-01",
"01-03",
"01-08",
"01-05",
"01-10",
"01-12",
"01-13",