Mon Jan 16 2023 17:48:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-16 17:48:06 +03:00
parent 39a303305b
commit 5976e8cf00
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Wao wanawaleta wote kwa ndoano; wanawakokota watu kutoka kwenye nyavu za samaki na kuwakusanya kwenye wavu wao;kwa hiyo anashangilia na kufurahi. \v 16 Kwa hiyo anatoa sadaka kwa wavu wake na kuchoma ubani kwa juya lake, sababu wanyama wanene ni sehemu yao, na nyama iliyonona ni chakula chao. \v 17 Kwa sababu hiyo watamaliza nyavu zao za kuvulia na kuendelea kuchicha mataifa, bila kuhisi huruma"?
\v 15 Wao wanawaleta wote kwa ndoano; wanawakokota watu kutoka kwenye nyavu za samaki na kuwakusanya kwenye wavu wao;kwa hiyo anashangilia na kufurahi. \v 16 Kwa hiyo anatoa sadaka kwa wavu wake na kuchoma ubani kwa juya lake, kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe,na ch. \v 17 Kwa sababu hiyo watamaliza nyavu zao za kuvulia na kuendelea kuchicha mataifa, bila kuhisi huruma"?