diff --git a/01/05.txt b/01/05.txt index 7764245..c7e02f0 100644 --- a/01/05.txt +++ b/01/05.txt @@ -1 +1 @@ - \v 5 "Angalia mataifa na uwachunguze; ustajaabu na ushangae! Kwa maana hakika niko karibu kufanya jambo katika siku zako ambalo hutaamini utakapoambiwa. \v 6Kwa maana angalia! nakaribia kuwainua Wakaldayo - taifa katili na lenye haraka - wanapita katika upana wa nchi kuteka makao yasiyo yao. \v 7 Wanatisha na kuogofya; hukumu yao na ukuu wao hutoka kwao wenyewe. \ No newline at end of file + \v 5 "Angalia mataifa na uwachunguze; ustajaabu na ushangae! Kwa maana hakika niko karibu kufanya jambo katika siku zako ambalo hutaamini utakapoambiwa. \v 6Kwa maana angalia! nakaribia kuwainua Wakaldayo _taifa katili na lenye haraka _wanapita katika upana wa nchi kuteka makao yasiyo yao. \v 7 Wanatisha na kuogofya; hukumu yao na ukuu wao hutoka kwao wenyewe. \ No newline at end of file