sw_gal_text_ulb/06/17.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 17 Tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe, maana nimebeba chapa za Yesu mwilini mwangu. \v 18 Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe na roho zenu, ndugu. Amina.