sw_gal_text_ulb/05/25.txt

1 line
138 B
Plaintext

\v 25 Kama tukiishi kwa Roho, pia tutembee kwa Roho. \v 26 Tusiwe wa kujivuna, tusichokozane kila mmoja na mwenzake, wala tusioneane wivu.