sw_gal_text_ulb/05/22.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, ukarimu, utu wema, imani, \v 23 upole, na kiasi. Hakuna sheria dhidi ya mambo kama hayo. \v 24 Wale walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili pamoja na shauku na tamaa zao mbaya.