sw_gal_text_ulb/05/16.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 16 Nasema, tembeeni kwa roho, na wala hamtazitimiza tamaa za mwili. \v 17 Kwa kuwa mwili una tamaa kubwa dhidi ya Roho, na Roho ina tamaa kubwa dhidi ya mwili. Hizi zinapingana kila moja na nyingine. Matokeo ni kwamba hamfanyi vitu mnavyotamani kuvifanya. \v 18 Lakini kama Roho anawaongoza ninyi, hamko chini ya sheria.