sw_gal_text_ulb/05/05.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 5 Maana kwa njia ya Roho, kwa imani tunasubiri ujasiri wa haki. \v 6 Katika Kristo Yesu kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuna maana yoyote. Ni imani pekee inayofanya kazi kupitia upendo ndiyo humaanisha kitu. \v 7 Mlikuwa mnapiga mbio vizuri. Nani aliwazuia kutokuitii kweli? \v 8 Ushawishi wa kufanya hivyo hautoki kwake yeye anayewaita ninyi.