sw_gal_text_ulb/05/03.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 3 Tena, namshuhudia kila mwanaume aliyetahiriwa kwamba anapaswa kuwajibika kwa sheria yote. \v 4 Mmetengwa mbali na Kristo, wale wote "mnaohesabiwa haki" kwa sheria. Mmeanguka mbali na neema.