sw_gal_text_ulb/03/27.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 27 Wote ambao mlibatizwa katika Kristo mmejivika Kristo. \v 28 Hakuna Myahudi wala Myunani, mtumwa wala huru, mwanaume wala mwanamke, kwa kuwa ninyi nyote ni mmoja katika Kristo Yesu. \v 29 Kama ninyi ni wa Kristo, basi ni uzao wa Ibrahimu, warithi kwa mujibu wa ahadi.