sw_gal_text_ulb/03/23.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 23 Lakini kabla ya imani katika Kristo haijaja, tulikuwa tumefungwa na kuwa chini ya sheria hadi uje ufunuo wa imani. \v 24 Kwa hiyo sheria ilifanyika kiongozi wetu hadi Kristo alipokuja, ili kwamba tuhesabiwe haki kwa imani. \v 25 Sasa kwa kuwa imani imekuja, hatuko tena chini ya mwangalizi. \v 26 Kwa kuwa ninyi nyote ni watoto wa Mungu kupitia imani katika Kristo Yesu.