sw_gal_text_ulb/03/15.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 15 Ndugu, ninazungumza kwa namna ya kibinadamu. Hata wakati ambapo agano la kibinadamu limekwisha kuwekwa imara, hakuna awezaye kupuuza au kuongezea. \v 16 Sasa ahadi zilisemwa kwa Ibrahim na kwa kizazi chake. Haisemi, "kwa vizazi," kumaanisha wengi, bali badala yake kwa mmoja pekee, "kwa kizazi chako," ambaye ni Kristo.