sw_gal_text_ulb/03/10.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 10 Wale ambao wanategemea matendo ya sheria wako chini ya laana. Kwa kuwa imeandikwa, "Amelaaniwa kila mtu ambaye hashikamani na mambo yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria, kuyatenda yote." \v 11 Sasa ni wazi kwamba Mungu hamhesabii haki hata mmoja kwa sheria, kwa kuwa "Mwenye haki ataishi kwa imani". \v 12 Sheria haitokani na imani, lakini badala yake "Ambaye hufanya mambo haya katika sheria, ataishi kwa sheria."