sw_gal_text_ulb/03/04.txt

1 line
199 B
Plaintext

\v 4 Je mliteseka kwa mambo mengi bure, kama kweli yalikuwa ya bure? \v 5 Je yeye atoaye Roho kwenu na kutenda matendo ya nguvu kati yenu hufanya kwa matendo ya sheria au kwa kusikia pamoja na imani?