sw_gal_text_ulb/01/08.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 8 Lakini hata kama ni sisi au malaika kutoka mbinguni atatangaza kwenu injili tofauti na ile tuliyoitangaza kwenu, na alaaniwe. \v 9 Kama tulivyo sema mwanzoni, na sasa nasema tena, "Kama kuna mtu atawatangazia kwenu injili tofauti na mliyoipokea, na alaaniwe." \v 10 Kwani sasa hivi ninatafuta uthibitisho wa watu au Mungu? Ninatafuta kuwafurahisha wanadamu? Kama ninaendelea kujaribu kuwafurahisha wanadamu, mimi sio mtumishi wa Kristo.