sw_gal_text_ulb/01/01.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 1 Mimi ni Paulo mtume. Mimi sio mtume kutoka kwa wanadamu wala kupitia kwa mwanadamu, lakini kupitia kwa Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu. \v 2 Pamoja na ndugu wote na mimi, ninayaandikia makanisa ya Galatia.