sw_ezr_text_reg/06/01.txt

1 line
168 B
Plaintext

\v 1 Na mfalme dario akaamuru uchunguzi ufanyike katika nyumba ya kumbukumbu Babeli. \v 2 Na katika mji wa Akmetha huko media chuo kilionekana: Kumbukumbu yake ilisema: