sw_ezr_text_reg/04/17.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 17 Ndipo mfalme akarudisha majibu kwa Rehumu na Shimshai na wenzao katika Samalia na waliobaki katika mji ng'ambo ya mto. "Amani iwe pamoja nanyi. \v 18 Barua mliyonitumia imetafsiliwa na kusomwa kwangu. \v 19 Hivyo niliagiza uchunguzi ufanywe na ikabainika kwamba zamani uliasi na kuwafitinisha wafalme.