sw_ezr_text_reg/05/08.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 8 Mfalme atambue kwamba tulikwenda Yuda kwenye nyumba ya Mungu Mkuu. Imeshajengwa kwa mawe makubwa na mbao zimewekwa katika kuta. Hii kazi inafanyika kwa utaratibu na inaendelea vizuri kwa mikono yao. \v 9 Tukawauliza wazee, ni nani aliyewapa agizo la kujenga nyumba na ukuta?' \v 10 Pia tuliwauliza majina yao ili kwamba ujue majina ya kila mtu ambaye aliwaongoza.