sw_ezr_text_reg/05/06.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 6 Hii ni nakala ya barua kwa Tatenai, mkuu wa mji ng'ambo ya mto, na Shethar - Bozenai na wenzao katika mji ng'ambo ya Mto, ambao waliwatuma kwa mfalme Dario. \v 7 Wakatuma ujumbe, wakiandika kwa mfalme Dario, "Amani tele iwe kwako"