sw_ezr_text_reg/09/10.txt

1 line
536 B
Plaintext

\v 10 Lakini sasa Mungu wetu, tuseme nini baaada ya haya? Tumesahau amri zako. \v 11 amri ambazo uliwapa manabii watumishi wako, pale uliposema, "Nchi hii mnayoingia kuimiliki ni nchi chafu. Imechanganyikana na watu wasio na utaratibu. ameenea kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa uchafu wao. \v 12 Hivyo sasa, msiwape binti zenu kwa watoto wao, msichukue binti zao kwa ajili ya watoto wenu, msitafute amani kwao na fadhili, ili kwamba muweze kuwa imara na kula vizuri vya nchi, hivyo utasababisha watoto wenu kumiliki kwa wakati wote."