sw_ezr_text_reg/04/11.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 11 Hii ni nakala waliotuma kwa Artashasta: "Watumishi wako, watu wa mji ngambo ya mto, waandika hivi: \v 12 Mfalme atambue kwamba Wayahudi waliotoka kwako wamefanya kinyume chetu hapa Yerusalem wamejenga mji wa uasi. Wamekamilisha ukuta na marekebisho ya misingi.