sw_ezr_text_reg/02/59.txt

1 line
208 B
Plaintext

\v 59 Wale ambao walitoka Tel-mela, Tel-harsha, Kerubu, Adani, na Imeri, Lakini hawakuweza kuthibitisha kizazi chao kilitoka Israeli- \v 60 pamoja na mia sita hamsini na mbili wana wa Delaya, Tobia na Nekoda.