sw_ezr_text_reg/02/55.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 55 Wana wa watumishi wa Selemani: Wana wa Sotai, Soferethi, Peruda, \v 56 Yaala, Darkoni, Gideli, \v 57 Shefatia, Hatili, Pokereth-Sebaimu, Amoni, \v 58 Walikuwa jumla ya watumishi mia tatu tisini na mbili waliochaguliwa kutumika katika Hekalu pamoja na wana wa watumishi wa Selemani.