sw_ezr_text_reg/10/26.txt

1 line
369 B
Plaintext

\v 26 Miongoni mwa wana wa Elamu Mataniana Zekaria, na yeehieli, na Abdi na Yeremothi na Eliya. \v 27 Miongoni mwa wana wa Zatu: Elionai, na Eliashibu, na Matania na Yeremothi na Zabadi na Aziza. \v 28 Miongoni mwa wana wa Bebai Yehohanani, na Hanania na Zakai na Athlai. \v 29 Miongoni mwa wana wa bani: Meshulami na Maluki, na Adaya na Yashubu na Sheali na Yeremothi.