sw_ezr_text_reg/10/03.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 3 sasa natuweke agano pamoja na Mungu wetu kuwaondoa wanawake wote na watoto wao kulingana na maelekezo ya Bwana, na maelekezo ya wale wanaotetemeka kutokana na amri za Mungu wetu. na hii ifanyike kutokana na sheria. \v 4 Simama, jambo hili linakuhusu wewe, na sisi tuko pamoja na wewe, Uwe imara na kufanya hili.