sw_ezr_text_reg/07/08.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 8 Naye akafika Yerusalem mwezi wa tano kama mwaka huo. \v 9 Naye akaondoka Babeli siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. Ilikuwa siku ya kwanza ya mwezi wa tano ambapo alifika Yerusalem, kwa kuwa mkono mzuri wa Mungu ulikuwa pamoja naye. \v 10 Ezra alikuwa ametoa moyo wake kusoma, kutenda, na kufundisha maagizo na sheria za Yahwe.