sw_ezr_text_reg/07/01.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 1 Sasa baada ya hili, kipindi cha kutawala Artashasta mfalme wa Uajemi, Ezra akaja kutoka Babeli. Watangulizi wa Ezra walikuwa: Seraya, Azaria, Hilkia, \v 2 Shalumu, Sadoki, Ahitubu, \v 3 Amaria, Azaria, Merayothi, \v 4 Zerahia, Uzi, Buki, \v 5 Abishaua, Fineasi, Eliazari ambaye ni mtoto wa Haruni kuhani mkuu.